Nyenzo za Kozi

Pata nyenzo zote za Kozi ya Wanamabadiliko wa Jamii hapa!

Nyenzo za kozi zinajumuisha mwongozo wa mwezeshaji pamoja na nyenzo za kila kipindi kama vile slaidi za PowerPoint, kadi za michezo, mabango, na maandiko ya mawasilisho.

Mwongozo wa mwezeshaji unajumuisha sehemu 3:

Sehemu ya A: Jinsi ya kutumia nyenzo hizi
Utangulizi wa nyenzo, jinsi ya kujiandaa kwa vipindi, pamoja na vidokezo kuhusu uratibu na namna ya kujibu maswali magumu.

Sehemu ya B: Mipango ya vipindi  
Maelezo ya kina yanayokusaidia kuendesha mazoezi yote, pamoja na maandiko ya mawasilisho na hadithi zinazotumika katika kila kipindi.

Sehemu ya C: Nyenzo za rejea 

Hapa chini utapata viungo vya kupakua nyenzo za kozi. Pakua nyenzo zote kwa pamoja katika faili moja la zip, mwongozo wa mwezeshaji pekee, au mafaili maalum kwa kila kipindi.

Bofya hapa kupakua mwongozo wa mwezeshaji (faili la PDF)

Bofya hapa

Bofya hapa kupakua nyenzo zote za kozi (faili la ZIP)

Bofya hapa

Kozi hii inapatikana kwa lugha nyingi – je, lugha yako imo?

Uwepo wa lugha zote

Fahamu nyenzo zetu zote kwa wakufunzi (kwa Kiingereza)

Soma zaidi
Tunapenda kusikia kuhusu uzoefu wako wa kutumia nyenzo za kozi kuleta mabadiliko katika jamii yako

Tuambie hadithi yako!

Fomu ya Maoni